INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Wednesday, May 23, 2012

SAFARINI KUELEKEZA VISIWA VYA KARAFUU ZANZIBAR

 Nikiwa Terminal One tayari kwa safari ya kuelekea Zanzibar katika visiwa vya karafuu kuhudhuria uzinduzi wa Filamu ya TOBA ya msanii Cloud.Hapa nikiwa na Mama Erieth tayari kwa kupanda mwewe

 Tayari kwa Safari

 Picha ya pamoja na Mama Erieth

 Nikiwa nimepozi kusubiri usafiri

 Ndani ya Uwanja

 Nikipanda mwewe

 Ndani ya mwewe

 Nikiwasili ndani ya visiwa vya karafuu

 Nikiwa na Rubani waNdege katika uwanja wa ndege Zanzibar

1 comment: