INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, May 7, 2012

BANANA ARTS GROUP-KEMONDO WAZINDUA FILAMU MPYA IJULIKANAYO KWA JINA LA SIRI YA MAMA

COVER LA  CD YA FILAMU YENYEWE.
Wadau wakimiminika ndani ya New Nehema Pub  Kemondo.
Ma nanka akiwa makini na kinachoendelea
 Washika kipaza wakisababisha ile ile...
 Show mbalimbali kama kawaida.
Ni kemondo Bay katika libeneke la tasnia hii ya filamu.
Utambulisho wa Uongozi wa Nehema Pub picha ya juu na hii ni Wasanii wa Banana Arts Group.
Vijana washikaji walihusika na utengenezaji wa filamu hii.
Mchakato wa kununua CD ulianza na CD moja imenunuliwa kwa sh 100,000 kama  kuwapa nguvu wasanii wetu.
 Watu na matumbo yao
Wasanii wetu katika Pozy 

No comments:

Post a Comment