INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Tuesday, May 1, 2012

RICHIE ATOKA NA "DIANA" KIPIMO CHA NDOA BORA


NYOTA wa filamu katika tasnia ya filamu Single Mtambalike ‘Richie’ amesema filamu ya 'Diana' ni fundisho kwa wanaume wote wanopenda kuvamia wanawake wa nje huku wakiwa na familia zao.

Akizungumza Dar es Salaam hivi karibuni Richie alisema kutembea nje ya ndoa uleta mitihani katika Ndoa na kuharibu mahusiano katika familia.

“Filamu ya 'Diana' ni kipimo cha Ndoa kwani inaonyesha jinsi matatizo ambayo yanaweza kutokea kwa kuwa na Nyumba ndogo na kusalitiwa na kukuteketeza kwa njia ya ushirikina, ukiangalia filamu hii utaona mimi nilivyopoteza kazi na mke wangu kurongwa ," alisema Richie

Amesema ujio wa filamu hiyo utatoa fundisho katika hali za kifamilia ni 'Diana' ni kipimo cha Ndoa bora.

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget