INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Wednesday, May 23, 2012

WASANII WAHUDHURIA UZINDUZI WA TOBA BWAWANI HOTEL ZANZIBAR

 Mgeni rasmi katika uzinduzi wa filamu ya TOBA Makamu wa kwanza wa Raisi wa Zanzibar Mh Maalim Seif Sharif Hamad akiwa na Msanii Cloud ndani ya Hotel ya Bwawani kabla ya uzinduzi wa Filamu ya TOBA,Mamia ya wananchi wa Zanzibar na Viongozi wa serikali na Wasanii kutoka Bongo Movie walihudhuria uzinduzi huo uliofana sana na uliosindikizwa na madarasa kadhaa za visiwani humo

 Burudani ya Madrasa ndizo zilizotawala katika uzinduzi huo

 Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar akiingia ndani ya ukumbi wa Bwawani Hotel

 Ray akifuatilia uzinduzi huo katika vazi nadhifu kabisa la kanzu

 Nikiwa na wasanii wenzangu tukifuatilia uzinduzi huo

 Chiki Mchoma kushoto mmoja wa Wasanii walioshiriki ndani ya Filamu hiyo ya Toba akiwa na Bajomba

 Katika vazi nadhifu kabisa

 Mama Rolaa mmoja wa wadau wakubwa sana wa filamu nchini naye alikuwepo kuhudhuria Filamu hiyo ya TOBA

 Huyo ni Irene Uwoya hakika tulipendeza

 Mwenyekiti wa Bongo Movie JB akitoa hotuba fupi katika uzinduzi huo

 Mh Makamu wa Rais wa kwanza Maalimu Seif Sharif Hamad akifuatilia filamu ya TOBA

 Burudani ikiendelea

 Wahudumu ndani ya ukumbi

 Steven Nyerere akifuatilia kwa makini

 Wema Sepetu akiwa kapendeza

 Nikiwa najicheki kama nimetoka bomba

Hapa kabla hatujaenda ndani ya ukumbi

2 comments:

  1. big up wema bint sepetu, u look beautiful

    ReplyDelete
  2. big up wema bint sepetu, uluk beautiful!

    ReplyDelete

There was an error in this gadget