INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Saturday, May 5, 2012


WAPENZI WANGU WA BLOGU HII NA WAPENZI WA FILAMU ZANGU, JANA NIMEACHIA FILAMU YANGU MPYA  YA "RUDE"-IKO SOKONI

Jennifer Kyaka "Odama"

Filamu yangu inayoitwa RUDE niliyoicheza na Stanley Msungu,Ruth Suka a.k.a Mainda, Mzee Jengua, Herrieth Chumila,Rachel Haule na wasanii wengineo kibao.

Ni story nzuri sana ( Lamata hajawahi kuniangusha kwenye hilo) inayoonyesha mambo halisi yanayotokea katika jamii yetu.

Utajiuliza utofauti wake ni nini? ni ubora wa picha( shukrani kwa Farid Uwezo) mpangilio mzuri wa story, soundtracks zilizopangiliwa vizuri, ubora wa sauti na kikubwa zaidi FINE ACTING.

Muone jinsi Msungu alivyodhihirisha u- mwamba wake wa kuweza kucheza roles tofauti tofauti (picha ya cover inajieleza)
Utaona jinsi MAINDA alivyokuwa Good girl gone bad( get ur copy umuone msichana huyo mdogo lakini mkongwe kwenye movie za bongo)

Utaniona mimi pia ( makamuzi yangu si unayafahamu?)

JIPATIE COPY YAKO SASA

No comments:

Post a Comment