INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Saturday, May 26, 2012

WASANII WALIVYOJIACHIA NYUMBANI LOUNGE KATIKA KILL TZ 100% FLAVA

 Ndani ya nyumbani Lounge Wasanii na Wadau mbalimbali hapa nchini walijiachia katika Kill 100% flava.Kilimanjaro waliandaa shughuli hiyo kwa kuwaalika watu mbalimbali. kuja kusapoti program hiyo ya kukuza na kuendeleza utalii wa ndani.Hakika watu walifurahi kwani ndani ya nyumbani lounge mambo yalikuwa ni Kili baridi,kill moto huku machozi band ikiendelea kupiga burudani ya nguvu,

 Wolper.Davina na Nesh

 Machozi band jukwaani

 Kassimu Mganga na Mdau

 Jb,Shilole,captain na Simple wa 69 record

 Joh Makini na Mdau
 Auntie na Shilole

 Nikiwa na shostito wangu Rachel

 Cathy Rupia na Davina

 Hatariiiiiiiiiiiiiiiii

 Jamani hizo pozi zenu hatari

 Mapozi hayo

 Simple na Shilole

 Hakika madada walipendeza

 Mbwana mpiga bass wa machozi band

 Isha Mashauzi wa mashauzi classic alikuwepo kuburudika na Kill

Madada wa Kill

2 comments:

  1. Bongo wasichana wazuri sana ila wanajiharibu kujichubua na kuvaa nywele za bandia hapo hua nawaona washamba ile mbaya si kwamba wanapendeza wanchukiza sana, Msichana au mwanamke wa kiafrika anapendeza alivyo natural yake ajiweka msafi tu tosha.

    ReplyDelete