INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Saturday, February 14, 2015

UJUMBE WA WASTARA KWA BONDI SIKU YA KUZALIWA KWAKE





Wastara aliyatoa maneno haya siku ya leo ambapo Bon Bin Sinnan anasherekea siku yake ya kuzaliwa.

Mbali na wawili hawa kuwa karibu zaidi na kuhisiwa kuwa wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi hizi jumbe mbili alizobandika leo zinakitu ndani yake kama ukizisoma “between the lines”, alianza na huu.....

"Happy birthday Bond Bin Sinnan Mungu akupe umri mrefu, sina jipya la kukwambia maneno yoote umeshayasikia midomoni kwa watu ila touti ni vitendo tu ambavyo si vyote uliwahi kuviona na kufanyia hicho.ndicho minachokuahidi kitakuwa kipya katika maisha yako mapya unayoyaanza ya kutimiza miaka kadhaa leo hii mungu.ni mwema na mwingi wa huruma na kutoa pale anapoombwa tumwamini yeye anaweza kutuoa kilakitu mungu akutangulie katika siku yako hii ya kuzaliwa".

Muda kidogo akaibuka na huu mara baada ya kuweka picha hiyo juu;

“We ni zaidi ya manager katika kazi, ni zaidi ya rafiki katika upendo kwa kweli mungu ni mwema kwa kukuleta duniani na ninaimani anakila sababu za kukufanya uishi miaka mingi ukiwa na afya njema, furaha na mafanikio zaidi

Nafurahia kuwa nawe karibu maishani mwangu. Happy birthday my Manager, my Director, my Friend, my boy and my Lov..Happy birthday".

Habari ndo hiyo!!!

Tunakutakia maisha marefu ya furaha na baraka, Happy BirthDay Bond.

No comments:

Post a Comment