INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Sunday, February 1, 2015

JUSTIN TIMBERLAKE ATHIBITISHA MKEWE KUWA MJAMZITOBAADA ya kuwepo minong'ono ya hapa na pale kuwa mwigizaji Jessica Biel ana ujauzito wa mtoto wa kwanza wa mwanamuziki Justin Timberlake, huku mastaa hao wakikaa kimya, hatimaye staa Justin ameweka bayana kuwa mkewe huyo ni mjamzito.


Timberlake ameweka wazi hayo kwa kutupia picha katika mtandao wa Instagram jana ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa akimbusu tumbo mkewe Jessica mwenye mimba na kuandika hivi:

'Namshukuru kila mtu aliyenitakia heri ya kuzaliwa! mwaka huu natarajia kupata zawadi kubwa mno. Nina hamu sana ya kumuona# Mvulana au msichana# Huwezi kujua# Na sisi hatujui pia# Wote tunasubiri kuona'…


BAADA ya kuwepo minong'ono ya hapa na pale kuwa mwigizaji Jessica Biel ana ujauzito wa mtoto wa kwanza wa mwanamuziki Justin Timberlake, huku mastaa hao wakikaa kimya, hatimaye staa Justin ameweka bayana kuwa mkewe huyo ni mjamzito.


Timberlake ameweka wazi hayo kwa kutupia picha katika mtandao wa Instagram jana ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa akimbusu tumbo mkewe Jessica mwenye mimba na kuandika hivi:

'Namshukuru kila mtu aliyenitakia heri ya kuzaliwa! mwaka huu natarajia kupata zawadi kubwa mno. Nina hamu sana ya kumuona# Mvulana au msichana# Huwezi kujua# Na sisi hatujui pia# Wote tunasubiri kuona' aliandika Justin.

(Photo Credit: Instagram)

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget