INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Sunday, February 15, 2015

TANZIA: BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIAMzee Sykes enzi za uhai wake.

Dully akiwa na baba yake mzazi, Mzee Sykes enzi za uhai wake.

Baba mzazi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Dully Sykes, Mzee Sykes amefariki dunia leo akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini Dar es Salaam. Global Publishers inatoa pole kwa Dully Sykes na familia nzima ya Mzee Sykes kwa msiba huu mzito. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!

No comments:

Post a Comment