INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Saturday, February 14, 2015

SELEMBE TOKO KUJA KIVINGINE 2015Msanii wa filamu za kiswahili mwenye makazi yake nchini Denmark Selembe toko amesema kuwa nagependa kuwatakia heri ya Valentine Day mashabiki wake hsa wale walio katika mapenzi halisi ya kweli. Selembe amesema pia kuwa kuna kazi kubwa ya filamu inakuja muda si mrefu hivyo mashabiki wake watarajie kitu kikubwa mwaka huu.

No comments:

Post a Comment