INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, February 9, 2015

DAVINA AKIRI KUMUONEA WIVU LULUMwigizaji wa filamu za Kibongo, Halima Yahaya ‘Davina’ amejikuta akimuonea wivu msanii mwenzike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kutokana na kuwa chini ya uangalizi wa meneja na kulipwa pato kubwa kwenye filamu.

Akipiga stori na paparazi wa GPL kuhusiana na ishu ya msanii huyo ambaye ni mdogo zaidi yake, kufikia hatua ya kulipwa shilingi milioni kumi na tano kwa filamu moja, ni mafanikio makubwa ambaye anayatamani sana.

“Yani hao wanaompinga Lulu wanamuonea wivu tu, naamini analipwa hiyo fedha sababu yupo chini ya usimamizi wa kampuni kubwa ya Proin Promosheni, natamani na mimi ningekuwa na meneja wangu ningenufaika zaidi kama yeye,” alisema Davina.

No comments:

Post a Comment