INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Tuesday, February 10, 2015

ZARI ATUPIA PICHA YA MREMBO ALIYEJICHORA JINA LA DIAMOND KWENYE NIDO
MPENZI wa nguli wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Zarinah Hassan 'Zari the Boss Lady' ameamua kutupia picha ya mrembo aliyejichora jina la Diamond kwenye ziwa 'nido' lake la kushoto.Zari ameamua kutupia picha hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram akionyesha kuwa mpenzi wake anakubalika vilivyo miongoni mwa warembo.

Wengi wa mashabiki wa Zari the Boss Lady wameonekana kuvutiwa na picha hiyo na kitendo cha mrembo huyo kuamua kuachia picha hiyo.

Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki baada ya Zari kuweka picha hiyo:

No comments:

Post a Comment