INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, February 9, 2015

MSANII WA MAIGIZO 'MAMA MASHAKA' AFARIKI DUNIA


Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ enzi wa uhai wake.

MSANII wa maigizo aliyewahi kuwika na kundi la Kaole Sanaa Group, Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ amefariki dunia.
Mama Mashaka amefariki usiku wa kuamkia leo majira ya saa tano za usiku katika Hospitali ya Amana iliyopo Ilala, jijini, Dar.Kwa habari zaidi tutaendelea kukujuza hapa.Waombolezaji wakiwa wenye nyuso za simanzi.


Bi Mwenda akiwa msibani leo

No comments:

Post a Comment