INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Tuesday, February 17, 2015

MKE WA KITIME AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI DAR


Marehemu Janeth Joan Kitime enzi za uhai wake.

Muonekano wa kaburi la marehemu Janeth Joan Kitime baada ya kuzikwa siku ya leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar.

Mwanamuziki mkongwe, John Kitime akiweka maua katika kaburi la mke wake.

Mzee Kitime na wanawe kulia wakiweka mchanga katika kaburi la marehemu.

Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia) akitoa pole.

Mzee Kitime akiteta jambo na msanii Dude.

Mmoja wa ndugu akijiandaa kuweka maua.
Kitime katikati akiwa na watoto wake wawili Ivan (kushoto) na Tina (kulia).
Wana familia wakiwa mbele ya kaburi la marehemu baada ya kuzika.Wadau mbalimbali wakiwa kwenye msiba huo.

No comments:

Post a Comment