INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Wednesday, July 4, 2012

2 TAMASHA LA GRAND MALT LILOFANYIKA TANGAKawaida ya Bongo Movie kufanya kazi za kijamii ni kawaida yao, timu nzima ya Bongo Movie walivamia mkoa wa Tanga katika tamasha kubwa la Open Film Festival linaloandaliwa na kampuni ya Sofia Production. lakini mbali na tamasha hilo bongo Movie alitembelea hospital ya Bombo kwa ajili ya kuwaona wagonjwa pamoja na kutoa misaada mbalimbali acha tuone mambo yalivyokuwa..


Timu ya Bongo Movie wakiwa tayari kwa ajili zoezi zima kuanza..


Wana Bongo movie wakiwa wanjiandaa kwenda hodi za wamama wajawazito.


The Greatest nikiwa na Rose Ndauka.


Watoto mapacha.


Odama akimtazama mtoto aliyezaliwa karibuni.


JB akitoa chandarua kwa mama mlezi.


Tukifunga chandarua


Baada ya hapo tuliekea kwenye tamasha..Wakazi wengi wa Tanga walifurai sana kutuona.

The Greatest nikiongoza msafara


The Greatest nikiwa na Cloud na Mwenyekiti wa Bongo Movie.


Mgeni rasmi wa katikati akiwa na wadhamini wa tamasha hilo


Recho Haule na Richie.


Sandra na Odama.


Hatman akiwa kwenye pozi...


The Power.
Watu walikuwa ni wengi sana.


Bongo Movie katika stage kusalimia wananchi wa Tanga waja leo kuondoka majaliwa.


Kazi imeanzaNikipiga kinanda..


Mc Chiki Mchoma..


Odama akitoa show kali.


Wacha weweeeeee.Rachel haule


Cloud


Richie


Ulifika mda wa The Greatest kufanya show.


Watu walishangilia sana.
Kupa akikamua.


Uwoya aliweza kutufungia show yetu.


Mgeni rasmi akitoa hotuba kuhusu tamashaMgeni akiongea machache baada ya Bongo Movie walipomaliza kufanya show


Meneja masoko wa Grand Malt naye akiongea yake machacheCath na Mariam.Mambo yakiendelea

2 comments:

  1. Kazi zenu ni nzuri, jamii inawakubali sana

    ReplyDelete
  2. Richie ni balaa kwa mauno

    ReplyDelete

There was an error in this gadget