INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Saturday, July 21, 2012

BONGO MOVIE-WEMA SEPETU AKIWA KATIKA CHARITY EVENT-ARUSHA WIKI ILIYOPITA

WEMA ALIWAULIZA WATOTO YEYE NI NANI.. ALL OF THEM WALISEMA WEWE WEMA SEPETU TUNAKUONAGA KATIKA MAGAZETI NA TV.. NAJIULIZA HAWA WATOTO WADOGO HIVI HAYO MAGAZETI WANAYAONAJE? NA WAPI... ILA HUYU PICHANI NDO ALIWAACHA WATU MIDOMO WAZI.. ALIWAAMBIE WENZIO.. MMEKOSEA HUYU ANAITWA WEMA "DIAMOND" WEMA ALITOA MACHO KAMA KAKABWA NA MFUPA.. ILIBIDI APIGE NAE PICHA.


ALIPOKELEWA NA ANGEL JUSTUS NA MISS ARUSHA 2012GAUDENCIA... MWENYEWE ALIKUWA ANAJIITA DEREVA WA WEMA SEPETU... AKIWEKA MAMBO SAWA.
HAKA KATOTO KALIMPENDA SANA WEMA NA HAKAKUTAKA KUKAA NAE MBALI... WEMA U SHOULD ADOPT THIS KID.MC WA SHUGHULI HII
SNURA ALIKUWEPO PIA.

RISALA FUPI KUTOKA KWA MLEZI WA KITUO HIKI CHA GOOD HOPE MBELE YA MGENI RASMI WEMA SEPETU

MAJIBU YA RISALA YALITOLEWA NA MGENI RASMI.. IKIWA NI KUSAIDIA KUHAKIKISHA HAWA WATOTO WANAPATA ELIMU, ALIWANUNULIA TV PAMOJA NA PESA TASLIMU ZA KIMAREKANI DOLA1000
ZILIKABIDHIWA KWA MLEZI WA WATOTO HAWA.

GAUDENSIA AKITOA SHUKURANI ZAKE KWA WEMA SEPETU NA TEAM YAKE KWA KUUNGANA NAO KWANI HUYU NDIO ALIKUWA MTU WA KWANZA KUFIKA KATIKA KITUO HIKI.

PENDO AMBAYE NDIE ALIYEANDAA SHUGHULI HII AKITOA MANENO YAKE MACHACHE
WATOTO WAKASEMA WEMA HUWEZI KUONDOKA HAPA ARUSHA BILA KUJUA KUCHEZA DISCO MALAPAA....

SAHAU CLUB ZENU ZA MJINI HAPA NI DISCO MALAPA KWA KWENDA MBELE.

CHANGAMKA.....

AISEE NATAMANI KUWAPA STORI YA HAWA WATOTO ILA DAAAAH...... THEY MADE MY DAY THAT DAY.

HASA HUYU... AM SURE WEMA HATAMSAHAU KATIKA MAISHA YAKE

TRULY LOVE ....... SIKUJUI HUNIJUI ILA TUNAPENDANA.

I SALUTE THESE LADIES........THEY ARE STRONG AND HARD WORKING.

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget