INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Tuesday, July 17, 2012

WEMA SEPETU AWA BALOZI WA KITUO CHA WATOTO YATIMA GOOD HOPE ARUSHA.... ACHANGIA DOLA 1000 KUWEZESHA UPATIKANAJI WA CHAKULA KWA WATOTO HAWANITAKUWA NAKUELEZA HATUA KWA HATUA.. WENYEJI WETU WALICHELEWA KIDOGO KUTUFATA.. HIVYO SWALA LILILOBAKI IKAWA NI KUPIGA PICHA ILI KUSOGEZA MUDA

PICHA ZIKAWA PICHAAAAAAA...

OUTDOOR PICTURES

MUDA UKAFIKA NA TUKAELEKEA KATIKA CHARITY CAR WASH AMBAYO ILIKUWA NA LENGO LA KUPATA FEDHA ZA KUKIHUDUMIA KITUO CHA WATOTO WA GOOD HOPE NA WEMA SEPETU NDIO ALIKUWA MGENI RASMI.

WEMA SEPETU AKIWA NA ANGEL JUSTUS NA GAUDENSIA

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget