INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Friday, July 13, 2012

ODAMA ASEMA "SEND OFF YA VICTORIA NGUZO ILIFANANA"


Victoria Nguzo (kushoto) akiwa na shosti wake.


Lazizi wangu umependeza siku ya leo, nipe siri ya kupendeza kwako...Uko poa sana!!


 Mama kula leo ni siku yako, hutaipata tena maishani

 Muda muafaka wa misosi


 Bibi harusi mtarajiwa akiwa na Mr wake,
 Agness, rafiki na Odama akiwa katika pozi lake tulivu
Kimiminika, kikiwa kimeshikiriwa iapasavyo mkononi.

 Dancers wakifanya mambo yao
 Vipi shosti wangu Agness, tumbo liko poa? Siunajua misosi ya leo ni sooo!!

 Nyoshi alipagawisha send off kwa masongi

 Mama wa Vicktoria Nguzo wa pili kutoka kushoto

 Odama (kushoto) na Victoria Nguzo. Unajua kuwa ni classmate?
 Vipi tuko poa mpiga picha wetu? Siunajua picha zinnatupwa katika mablogu
 Jennifer Kyaka-Odama
 Odama nikitokelezea kwa raha zangu

2 comments:

  1. odama ulipendeza sana jamani hongera!

    ReplyDelete
  2. umependeza sana odama ni kama wewe ndio bibi harusi vile hongera sana tunasubiri yakwako dia

    ReplyDelete

There was an error in this gadget