INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, July 2, 2012

ELIZABETH GUPTA NDANI YA MOVIE MPYA KUTOKA NIGERIA "THE CARTEL"

Pichani ni Elizabeth, Mike Ezuruonye aliyemshikilia mtoto wa Eliza na mwanadada ambaye sikupewa jina lake

Elizabeth Gupta-pam wengi tunamfahamu kupitia shindano la Big Brother baadae akaolewa na mshiriki mwenzake kutoka Nigeria. Kwa hivi sasa Elizabeth anacheza katika movie mpya inayokwenda kwa jina la THE CARTEL ambayo imewashirikisha wasanii mbalimbali kutoka Naija, Ghana, South Africa na Tanzania ambaye yeye Elizabeth ndio anatuwakilisha. Na nimeambiwa wasanii wenye majina makubwa waliocheza ni pamoja na Mike Ezuruonye, Martha, John Njamah na Luclay ambaye alikuwa BBA.

Movie hiyo ya The Cartel imechezwa nchini Naija (Nigeria) sehemu moja inayoitwa Portharcout.


No comments:

Post a Comment