INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, July 9, 2012

KITCHEN PARTY YA VICTORIA NGUZO SINZA MORI YAFANA-J.KYAKA "ODAMA"

Kitchen Party ilikuwa bomba mbaya, watu wali - party mpaka basi. Victoria Nguzo ndiye aliyewakusanya ndugu na marafiki katika KP yake. Wasanii wa taarabu waliibuka kama Hadija Kopa, na bila kusahau upande wa Bongo Movie, Jennifer Kyaka (Odama). Fuluuu misosi, miziki, yaani ilikuwa ni burudani tosha. Chungulia kidogo iliyyokuwa hapo down
Mrembo Victoria Nguzo akitokelezea yellow fulani  hiviiiii.......Huyu ndiye mhusika mkuu wa Kitchen Party


Mama Victoria akipewa shafu la mazawadi kibao kutoka kwa marafiki na ndugu


Mrembo Agness katika pozi
Hongera Mwanangu
Niaje Victoria, naona leo mambo yameenda vizuri, au unasemaje? Nipe siri ya mafanikio shosti...na usinibanie mwaya


No comments:

Post a Comment