INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Wednesday, August 22, 2012

AMANDA HATAKI NDOA TENA

 
Tamrina Poshi ‘Amanda’.

MSANII wa filamu Bongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa hataki kusikia habari ya ndoa kwani ameshaonja uchungu na utamu wake.
Akichezesha taya na Mbovumbovu za Mastaa, Amanda alisema kwa sasa hafikirii suala la ndoa na badala yake ataishi katika uhusiano wa kimapenzi tu na mtu kwani ni vigumu kwa mwanamke kukaa bila kuwa na mwanaume.
“Sitaki hata kusikia ndoa kwa sababu nimeshaonja kwa aliyekuwa mume wangu Hamis Bwela kwa hiyo sina wazo kabisa labda itakuja kutokea hapo baadaye lakini kwa sasa ninaweka nguvu zangu katika kazi tu,” alisema Amanda

No comments:

Post a Comment