INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Thursday, August 23, 2012

MONALISA CHINDA AKEREKA KUAMBIWA NI MSAGAJI

 
Monalisa Chinda.
WIKI iliyopita, mitandao ya kijamii na mingine, ilisambaza picha inayomwonyesha staa wa Nollywood, Monalisa Chinda akimbusu rafiki yake wa kike shavuni karibu na mdomo, kitendo kilichotafsiriwa na wengi kuwa kinahusisha mapenzi ya jinsi moja ‘usagaji’, lakini habari ni kuwa mwigizaji huyo amefura kwa hasira.
“Sina muda wa kujibu taarifa za kipuuzi kama hizo kwa kuwa nipo bize. Kama watu wanaona ni sahihi kupika stori wanaweza kuendelea na upuuzi huo. Nilikuwa kwenye wakati mzuri wa kusherekea na dada yangu. Watu wote tulikuwa tukipiga picha za wazi, kwa ni nini wao watafsiri jambo kama hilo!” alisema Monalisa kwa hasira.

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget