INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Wednesday, August 22, 2012

BABY MADAHA ASHIKWA KALIO MBELE YA MENEJASTAA wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha (pichani) amesababisha msala baada ya kushikwa kalio mbele ya meneja wake, Mercey Kayuni, Bongowood ilinasa tukio hilo lililojiri wikiendi iliyopita kwenye Baa ya Uhuru Peak, Kinondoni, Dar.Wakati Baby akiwa amepozi na meneja wake huyo wakibadilishana mawazo, ghafla njemba moja ilikatiza jirani na staa huyo kisha kujifanya kumfahamu na kupitisha mkono kisha kumshika, jambo lililosababisha mshikemshike wa vita ya maneno hadi walipotulizwa.

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget