INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Wednesday, August 29, 2012

GARI LA KUKODI LAMTOKEA PUANI JACK CHUZ


 

                     Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’. Na Richard Bukos
MWIGIZAJI wa Kibongo, Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kukodi gari aina ya Toyota Spacio lenye namba za usajili T 750 BPK na kushindwa kulipa.
Bongowood iliambiwa na aliyemkodishia kuwa Jack Chuz alipewa gari hilo alitumie kwa siku tano kwa makubaliano ya kulipa elfu 50 kwa siku lakini zilipomalizika, alilirudisha na nusu ya fedha hivyo anasakwa na polisi kwa jalada la kesi namba RB/CH/ 6031/2012 huku bidada akijitetea kuwa alikuwa amesafiri.

No comments:

Post a Comment