INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Sunday, August 26, 2012

MFAHAMU HALIMA MDIWA(AUNT SUZY)

A.K. A: Aunty Suzy
UMRI: 25
KABILA: Mpare
KAZI YAKE: Uigizaji
MAKAZI: Kinondoni, Dar.
AMEPATAJE MAKALIO HAYO?
“Yaani ukiniuliza nimelipataje wala sina jibu kwa kuwa nimelishangaa linakuja tu tangu nikiwa mdogo. Mbaya zaidi mama yangu yuko kawaida tu, siyo mnene.”
USUMBUFU ANAOKUTANA NAO
“Umbile langu linanifanya nawakimbie wanaume, kila nikipita mara huyu kanikonyeza, mara huyu kananiita, yaani ni usumbufu mtindo mmoja.”
ANATAMANI KUPUNGUA
“Mimi natamani sana kupungua ndiyo maana natumia dawa za kupungua na kufanya mazoezi, ni kero sana.”
KUHUSU MAVAZI YAKE
“Napenda kuvaa nguo zinazonipendeza ila mara nyingi navaa zinazoficha kalio langu ili wanaume wakware wasinisumbue.”
SAIZI YA NGUO YA NDANI
“Kwa kweli sijui navaa saizi gani.”

No comments:

Post a Comment