INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Wednesday, August 22, 2012

KUPA ANASWA!STAA wa filamu Bongo, Idrisa Makupa ‘Kupa’ juzikati amenaswa na demu mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja na kudai kwamba ndiyo ‘mtu wake’ kwa sasa.
Ishu hiyo imepigwa chabo na paparazi wetu, siku ya Idd Mosi katika Ukumbi wa Mango Garden Kinondoni, jijini Dar wakati Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’ ilipokuwa ikishusha burudani.
Mara baada ya kuwaona wawili hao wakipeana kampani kama Mr na Mrs, paparazi wetu aliwafotoa picha kadhaa kisha, akaomba ufafanuzi kutoka kwa Kupa ambapo alisema:
“Aah! Siku zote mnaniuliza sana juu ya mpenzi wangu sasa hapa ndiyo nimefika, sioni wala sisikii na nimetulia, nitamtambulisha rasmi hivi karibuni.”

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget