INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Wednesday, August 29, 2012

JENNIFER KYAKA [ODAMA] KUACHIA FILAMU MPYA - CHOCOLATE

Kampuni ya J-Film 4 Life chini ya Mkurugenzi Jennifer Kyaka (Odama) inapenda kukujuza kuwa mwezi Septemba 2012 itaachia filamu mpya ya Chocolate.Mdau wangu naomba ukifika huo mwezi, wahi dukani na kununua filamu hii ambayo itakufanya uwe mtu wa tofauti kwa yale yaliyoigizwa. Tumekuelimisha, tumekufundisha, tumeadibisha na kukuburudisha.

J-Film 4 Life imehakikisha filamu ipo katika viwango vya kimataifa hasa sauti na video kwa ujumla.

Pata kuona hii trailer

No comments:

Post a Comment