INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Wednesday, August 22, 2012

KASHI ADAIWA KUPIGWA NDOA KWA SIRI

Jaji Khamis ‘Kashi’.

STAA wa filamu za Kibongo, Jaji Khamis ‘Kashi’ anadaiwa kupigwa ndoa kwa siri ikiwa ni muda mrefu tangu alipofanya kitchen party kwa ajili ya kuolewa na mwanaume mwingine tofauti na aliyemuoa sasa, chanzo kimeeleza.
Baada ya kupata nyiuzi kuwa Kashi alimmwaga mchumba’ke Brown na kumpata mwanaume mwingine aitwaye Musa wakafunga ndoa, Bongowood ilimtafuta msanii huyo ambaye alidai kuwa mumewe kamfunga mdomo hivyo hasemi lolote.

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget