INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Thursday, August 16, 2012

FLORA:SIJAMFUKUZA SHILOLE
STAA wa filamu za Kibongo, Flora Mvungi amekanusha madai ya kuwa aliwahi kumfukuza mwigizaji mwenzake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’.

Tamko hilo limekuja mara baada ya Shilole ambaye sasa amejikita katika tasnia ya muziki kuachia wimbo wenye ujumbe unaosema Nyumba za Kupanga Lawama ambapo ilidaiwa kuwa alimuimbia Flora kwa kuwa waliwahi kuishi pamoja.

“Mimi nilimpokea Shilole kipindi anatoka mkoa lakini baadaye nilimpa akili ya yeye kupanga kwake, sijamfukuza. Kama ameniimba mimi katika wimbo huo nitamshangaa,” alisema Frola ingawa kwa mujibu wa mtandao wa mmoja, Shilole alidai ameimba kwa kutoa ujumbe kwa jamii wala hakumlenga mtu.

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget