INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Friday, August 17, 2012

BONGO MOVIES KUWASHITAKI MAHARAMIA WA KAZI ZAO
Aliyekuwa mshereheshaji wa mkutano huyo, muigizaji Susan Lewis ‘Natasha’.
Rais wa shirikisho la wasanii wa filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifamba akihutubia.
‘Comedian’ Zimwi (mwenye fulana ya njano) akimsikiliza Mwakifamba.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiifuatilia hotuba hiyo.
Waigizaji Issa Musa 'Cloud 112' (kulia) na Jacob Steven ‘JB’ (wa pili kulia) walikuwepo.
Baadhi ya waigizaji waliohudhuria mkutano huo.
Wasanii Maya (kushoto) na Davina wakiwa ndani ya nyumba. UMOJA wa wasanii wa filamu nchini kupitia Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) wanakusudia kutinga mahakamani kumshitaki mtu ambaye anadaiwa kuwa haramia mkuu wa kazi za wasanii wa filamu aliyetambulika kwa jina la Rigobert Masawe.
Kusudio hilo lilisemwa na Rais wa Shirikisho hilo, Simon Mwakifamba, katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Leaders Club vilivyopo Kinondoni jijini Dar jana.

No comments:

Post a Comment